1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Masaibu ya watoto wanaozurura mitaani Lome, Togo

04:50

This browser does not support the video element.

6 Novemba 2019

Takriban watoto 7,000 nchini Togo hawana makao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo umaskini na matatizo za kifamilia. Kevin Fiashinou aliwahi kuwa chokora miaka mingi iliyopita. Mnamo mwaka 2012, kijana huyu mwenye umri wa miaka 34 alianzisha shirika la kimataifa linalowashughulikia chokora kupata elimu na huduma za afya nchini Togo akiwa na matumaini ya kuwaunganisha tena na familia zao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW