Mashabiki wa soka 15 waaga Dunia mjini Kinshasa
12 Mei 2014Matangazo
Mashabiki wa AS Vita Club walianza kurusha mawe uwanjani baada ya kuhisi kuwa watashindwa katika mechi hiyo wakati timu yao kufungwa goli moja kwa sifuri na TP Mazembe. Nimezungumza na mwandishi wa habari Patrice Chitera akiwa mjini Kinshasa, na kwanza alianza kusimulia kilichojiri katika uwanja wa Tata Raphael wakati wa mchuano huo kati ya AS Vita Club na Tout Puissant Mazembe
Mwandishi: Bruce Amani/AFP/reuters/DPA
Mhariri: Mohammed Abdul-rahman