Serikali ya Libya yaelekeza mashambulizi miji ya magharibi
3 Juni 2023Matangazo
Hata hivyo, mashambulizi hayo yaliyoanza wiki moja iliyopita yamepiga kiwanda kinacho husishwa na mpinzani maarufu wa Waziri Mkuu Abdelhamid al-Dbeibah, hatua ambayo imesababisha chuki kwa wanaoikosoa serikali na kuzusha hofu ya vurugu kuongezeka zaidi.
Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimepaza sauti ya hofu kutokana na matumizi ya silaha katika maeneo ya raia wa Zawia na kuwataka viongozi kutuliza hali hiyo.