1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashindano ya urembo kupambana na unyanyapaa

03:22

This browser does not support the video element.

Ibrahim Swaibu
27 Septemba 2021

Katika kupambana na unyanyapaa, nchini Uganda yamefanyika mashindano ya urembo, yasiyolenga kupata mshindi bali kupata washiriki ambao watakaokuwa mfano mzuri kwa vijana wenzao wanaoshi na VVU, kutetea mahitaji yao, na kuongeza uelewa kuhusu vijana wanaoishi na virusi vya Ukimwi katika jamii. Video na Ibrahim Swaibu. Kurunzi Afya 27.09.21

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW