1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashine ya kisasa ya kukuna nazi

02:56

This browser does not support the video element.

12 Septemba 2019

Kwa jamii ya Waswahili wa Pwani, kibao cha kukuna nazi maarufu kama mbuzi, ni miongoni mwa zana muhimu ya jikoni ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi kwenye eneo la ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki. Hata hivyo nchini Tanzania, kwa sasa watu wanatumia mashine maalum za kisasa kukuna nazi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW