SiasaMashini za kupigia kura zateketezwa kwa moto Kinshasa01:18This browser does not support the video element.SiasaAmina Abubakar13.12.201813 Desemba 2018Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo inasema maelfu ya mashine za kupigia kura zimeteketezwa kwa moto jana usiku, siku kumi tu kabla ya uchaguzi wa rais. Hata hivyo maafisa wa serikali wanahoji tukio hilo halitoathiri uchaguzi wa Desemba 23Nakili kiunganishiMatangazo