1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashirika ya haki za binaadamu yawatetea albino nchini Tanzania

19 Machi 2009

Nchini Tanzania mashirika manne yanayojishughulisha na haki za binadamu nchini humo yameifikisha serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mahakama kuu kwa madai ya kuzembea kuzuia vitendo vya kinyama dhidi ya albino.

Albino Frauen in Ruyigi, Burundi
Picha: picture-alliance/ dpa

Kwenye hoja zao zilizowasilishwa mashirika hayo yanaitaka serikali iwalipe fidia albino walioathirika.Kwa upande mwa pili wanaharakati hao wanaitaka serikali itunge sheria zitakazowapa haki sawa albino.

Kutoka Dar es salaam George Njogopa ana maelezo kamili.

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Miraji Othman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW