SiasaNiger
Mashirika ya UN yazuiwa katika baadhi ya maeneo Niger
1 Septemba 2023![Kiongozi mpya wa kijeshi nchini Niger, Jenerali Abdourahmane Tian (Kulia) akiwasili mjini Niamey kwa mkutano na mawaziri mnamo Julai 28, 2023](https://static.dw.com/image/66627611_800.webp)
Matangazo
Bila ya kutaja maeneo yalioathirika, taarifa ya wizara hiyo iliyotangazwa kupitia redio ya taifa, imesema kuwa kutokana na hali ya sasa ya kiusalama nchini humo, pamoja na kujitolea kwa jeshi la nchi hiyo katika operesheni zake, shughuli zote za mashirika hayo zimesimamishwa kwa muda.