1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Mashirika yadai haki za waandishi Tanzania

28 Agosti 2018

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaliyounda umoja wa kupata taarifa Tanzania yametaja mazingira magumu wanayokumbana nayo waandishi wa habari na kudhamiria kwenda mahakamani kushtaki unyanyasaji dhidi ya waandishi.

Mkutano na waandishi wa habari
Picha: DW/S. Khamis

J3Tanzania- Media Council and journalists meeting on ongoing assault against - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW