1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashirika yasiyo ya serikali yakaguliwa Kenya

16 Agosti 2017

Polisi na mamlaka ya mapato ziliizingira kwa muda ofisi za asasi yenye kupigania demokrasia AfriCOG. Baadaye serikali ilitangaza kusitishwa hatua kulifungia shirika hilo na lingine la kutetea haki za binadamu.

Logo AfriCOG

J2.16.07.2018-Kenia Interview - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

DW imezungumza na mwanasheria wa AfriCOG, Harun Ndubi.