Matarajio ya Wakenya ya kombe la dunia la kandanda 2010
10 Juni 2010Matangazo
Mwandishi wetu mjini Mombasa nchini Kenya, Eric Ponda, alivinjari katika mitaa ya mji huo wa kitalii kukusanya maoni na matarajio ya mashabiki wa soka nchini humo na kututumia taarifa ifuatayo.
Mwandishi:Maryam Abdalla
Mpitiaji: Miraji Othman