Matarajio ya Watanzania kuhusu kombe la dunia la kandanda 2010
10 Juni 2010Matangazo
Nchini Afrika kusini mwenyeji wa mwaka huu wa mashindano ya kombe la dunia la mpira wa miguu, shamrashamra tayari zimeanza wakati kesho basi ndio timu zitaanza kushuka dimbani.
Tayari homa ya mashindano hayo imeshaanza kupanda sehemu mbalimbali duniani. Nchini Tanzania je wanabashiria nini kuhusiana na mashindano hayo?
George Njogopa kutoka Dar es Salaam anatuarifu zaidi