Hali ya taharuki ilitanda mapema hii leo katika kivuko cha likoni huko mjini Mombasa nchini Kenya baada ya ferry kadhaa kupata matatizo ya kimitambo na kukwama.
Matangazo
Maelfu ya watu wanaosafiri kupitia eneo hilo walilazimika kukaa kwa muda wa saa sita kutokana na matatizo hayo.
Mengi zaidi anaarifu mwandishi wetu Eric Ponda kutoka Mombasa.