Matibabu ya mapema kwa aliyepata kiharusiElizabeth Shoo28.01.201628 Januari 2016Kiharusi kinatokea pale ambapo usambazaji wa damu kuelekea ubongo hauendi vizuri au iwapo damu inavuja ndani ya ubongo. Katika makala ya afya, Amina Abubakar anaangalia tiba kwa aliyepata kiharusi.Nakili kiunganishiPicha: DW/J.-P. Scholz/A. KrieschMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.