1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matokeo ya muda ya uchaguzi leo Kongo

20 Agosti 2006

KINSHASA:

Tume ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inatazamiwa kutangaza leo matokeo yasio ya mwisho ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita.Pia matokeo ya uchaguzi wa Bunge yanatarajiwa leo.Kwa muujibu wa Tume hiyo huru yadhihirilka kutakuwa na duru ya pili ya uchaguzi wa rais hapo oktoba 29.Rais Joseph Kabila hakujipatia zaidi ya 50% ya kura sawa na mpinzani wake mkubwa makamo-rais Jean-Pierre Bemba.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW