1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matokeo ya uchaguzi visiwani Komoro

27 Juni 2007

Tume ya taifa ya uchaguzi,NEC,imetoa matokeo ya uchaguzi wa Urais wa visiwa vya Komoro, na katika matokeo hayo Rais wa kisiwa cha Ngazija atakuwa Mohamed Abdulwahab na huko visiwani Moheli Rais aliyechaguliwa ni Bwana Mohamed Ali Said.

Sehemu ya Kitalii katika kisiwa cha Komoro
Sehemu ya Kitalii katika kisiwa cha KomoroPicha: AP

Na ujumbe wa Umoja wa Afrika, AU, umeondoka visiwani Komoro baada ya kufanya mazungumzo na mtawala wa kisiwa cha Nzouani, Kanali Mohammed Bakari.

Zaidi ni kutoka kwa Abdulrahman Baramia aliyoko Moroni.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW