Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao
8 Julai 2015
Kundi la wanawake wanne nchini Rwanda limewasha umeme utokanao na nishati ya jua kwenye kijiji kizima mashariki ya nchi hiyo. Jiunge na Sylivanus Karemera kusikiliza makala ya 'Wanawake na Maendeleo'.
Picha: AFP/Getty Images/S. Kambou
Matangazo
Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao
This browser does not support the audio element.
Kusikiliza makala ya Wanawake bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini