1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa wafanyakazi roboti zachukua fursa

02:54

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
23 Januari 2024

Uhaba wa wafanyakazi umesababisha kampuni nyingi kuchukua hatua zaidi, ikiwemo matumizi ya akili ya kubuni katika mchakato mzima wa ufanyaji kazi. Kampuni kubwa ya uuzaji na ununuaji mtandaoni barani Ulaya ya Otto ilioko mjini Hamburg, ikishirikiana na makampuni makubwa ya akili ya kubuni kutoka Marekani wanatumia mfumo wa roboti katika kazi za kila siku.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW