Mawaziri wa Uganda wajiuzulu
13 Oktoba 2011Matangazo
Mawaziri hao watatu ni waziri wa mambo ya nje Sam Kuteesa, kiongozi wa wabunge wa chama tawala bungeni John Nasasira, na naibu waziri wa Kazi Mwesigwa Rukutana. Waziri Kutesa na Nasasira ni marafiki wa karibu wa rais Museveni. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi.
Mwandishi: Leyla Ndinda
Mhariri: Josephat Charo