Mawaziri wa Usafiri wa CEEAC wakutana mjini Kinshasa,DRC16.09.200816 Septemba 2008Mawaziri wa Usafiri wa nchi 11 za jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Africa ya kati CEEAC wamekutana mjini Kinshasa.Nakili kiunganishiMji wa Kinshasa palipofanyika mkutano wa CEEACPicha: Alexander GöbelMatangazoKiini cha mkutano huo ni kutathmini usalama wa anga na vilevile kurahisisha maingiliano ya kimkoa kupitia biashara huru. Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.