Mazingira Afrika – Kipindi 1 - Takataka16.03.201116 Machi 2011Suala la takataka limekuwa ni tatizo sugu. Na kwa serikali za Afrika kulishughulikia suala hilo ni jukumu kubwa. Tutaelezea hatari ya mifuko ya plastiki kwa viumbe wa baharini, jinsi inavyoharibu mazingira ya majini.Nakili kiunganishiMatangazo