Mazingira Afrika – Kipindi 3 –Nyama pori16.03.201116 Machi 2011Shughuli za kibinaadamu huwa na madhara kwa maisha ya wanyamapori. Tunajua athari za biashara haramu ya nyamapori ambayo ni ya kawaida Afrika. Ni viumbe gani ambao wako katika hatari ya kutoweka?Nakili kiunganishiMatangazo