Mazingira Afrika – Kipindi 4 – Magari na Baiskeli16.03.201116 Machi 2011Gari ni chanzo kikuu cha uchafuzi wa hali ya hewa. Hutoa hewa ya kaboni inayochangia ongezeko la ujoto duniani. Gundua faida za usafiri wa umma pamoja na baiskeli.Nakili kiunganishiMatangazo