Mazingira Afrika – Kipindi 5 - Kuni16.03.201116 Machi 2011Afrika inategemea kuni kwa ajili ya kupikia lakini mahitaji ya mkaa yameharibu misitu barani humo. Hebu tuangalie njia mbadala kama vile kupika chakula kwa kutumia joto na mwanga wa jua.Nakili kiunganishiMatangazo