Mazingira Afrika – Kipindi 7 – Ukataji miti16.03.201116 Machi 2011Ukataji miti umesababisha madhara makubwa kwa mazingira. Bara la Afrika limepoteza misitu mingi kuliko bara lingine lolote. Fahamu kuhusiana na biashara haramu ya mbao pamoja na madhara yake.Nakili kiunganishiMatangazo