Mazingira Afrika – Kipindi 8 – Jangwa16.03.201116 Machi 2011Majangwa barani Afrika yamekuwa yakiongezeka. Hii ni kutokana na shughuli za kibinaadamu duniani kwa mfano ongezeko la malisho pamoja na ukataji miti. Je, ni jinsi gani wakulima wanawajibika kwa hali hiyo?Nakili kiunganishiMatangazo