Mazungumzo baina ya serikali ya DRC na CNDP yaanza tena
19 Machi 2009Matangazo
Mazungumuzo hayo ambayo kwa wiki kadhaa yalikua yanaendelea mjini Goma baina ya wajumbe bila ya msuluhishi, duru hii yanahudhuriwa na mshauri wa msuluhishi wa mzozo wa mashariki mwa Kongo, Jenerali Lazaro Sumbeiyo.
Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Goma ametutumia ripoti ifuatayo.
John KANYUNYU
Mhariri: Miraji Othman