Mazungumzo kati ya Serikali ya Burundi na FNL PALIPEHUTU kufanyika hivi karibuni
31 Agosti 2007
Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi ametangaza kwamba mazungumzo kati ya serikali yake na kundi la mwisho la waasi la FNL PALIPEHUTU yaliyokwama sasa yatafanyika hivi karibuni.
Matangazo
Juu ya umuhimu wa mazungumzo hayo Zainab Aziz alizungumza na Balozi wa Burundi mjini Geneva mheshimiwa Paul Mahwera.