Waziri wa Mashauri ya Kimataifa nchini Uganda, Henry Okelo Oryem, amesema Wajumbe wa Serikali Kuu ya Uganda hawatarejea tena katika eneo la mpaka wa Sudan na Kongo.
Matangazo
Watarejea pale Kiongozi wa kundi la Waasi la LRA, Joseph Kony atakapobainisha kuwa atafika katika eneo hilo kwa ajili ya mapatano ya Amani.
Zaidi anayo mwandishi wetu Ismail Kigozi kutoka nchini Uganda.