1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbelgiji auwawa Liberia

18 Novemba 2007

MONROVIA:

Mkuu mmoja wa kampuni la mpira la kibelgiji nchini Liberia, amepigwa risasina kuliwa katika eneo ambalo kampuni lake lililikuwa na mpango wa kutanua shamba la mipira.Mpango huo ukipingwa na wakaazi waliolalamika.Marehemu alikutikana ameuwawa ndani ya motokaa yake jana asubuhi .Wiki iliopita serikali ya Liberia iliuidhinisha mpango huo wa kujitanua kwa shamba la mpira ikiwa sehemu ya m kataba wa thamani ya dala milioni 22.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW