Zaidi ya wajumbe 800 kutoka kote ulimwenguni wanafanya mkutano jijini Nairobi kwa lengo la kujadili uhifadhi wa misitu na mazingira. Kikao hicho kimeandaliwa na Shirika la Programu ya Mazingira ya Umoja wa Mataifa UNEP.
Picha: picture-alliance/dpa/R. Hirschberger
Matangazo
J3:29.08.2018-Kenia: Global Landscapes Forum - MP3-Stereo