1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbowe ang'aka kuhusu faulo za uchaguzi wa serikali za mitaa

01:01

This browser does not support the video element.

19 Novemba 2024

Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe ameyatoa matamshi haya alipokutana na waandishi wa habari na kulalamikia juu ya kuenguliwa kwa wafuasi wa chama hicho waliojitokeza kugombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.#Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW