Mchakato wa Katiba mpya nchini Tanzania
12 Julai 2012Matangazo
Kumekuwa na malalamiko juu ya namna zoezi hilo linavyoendeshwa na hivyo kusababisha hofu kawamba huenda kile kinachotakiwa kukusanywa kisipatikane ipasavyo. Stumai George amezungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba Tanzania Deus Kibamba na kwanza anaeleza kile kinachoendelea kwa sasa.
(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Stumai George
Mhariri: Mohammed AbdulRahman