SiasaMchezaji mpira wa Freestyle kutoka Kenya00:57This browser does not support the video element.SiasaJacob Safari03.07.20183 Julai 2018Edward “Gattuso” Murimi anajipatia kipato chake kutokana na ujuzi wake wa kupepeta mpira kwa njia ya Freestyle. Siku ikiwa nzuri, Edward hupata kati ya Dola 20 hadi 30. Nakili kiunganishiMatangazo