1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezo wa mtelezo kuwapa matumaini watoto Maputo

02:19

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
13 Februari 2019

Kwa miaka 11 vuguvugu la mchezo wa kuteleza (Maputo Skate) nchini Msumbiji limekuwa likiwahamasisha vijana kujiepusha na madawa ya kulevya pamoja na ulevi. Lakini vipi mchezo huo unaweza kuwasukuma watoto kubakia shule na kuachana na madawa hayo?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW