JamiiMchuma riziki kwa kuvunja mawe02:38This browser does not support the video element.JamiiJohn Juma09.05.20189 Mei 2018Kupasua miamba na kuvunja mawe ni kazi ya sulubu. Lakini kwa Jaffar Issa, hiyo ndiyo kazi anayoipenda. Ungana na Dotto Bulendu ujue mengi kumhusu kijana huyu na kazi yake kwenye makala Vijana Mubashara.Nakili kiunganishiMatangazo