Mchungaji Mtikila yumo tena kwenye urais
11 Oktoba 2010Matangazo
Kwa upande wake, chama cha Democratic-DP kinasema uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki. Mwenzangu Grace Kabogo alizungumza na mwenyekiti wa chama hicho cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila na kwanza alikuwa na haya ya kueleza kuhusu harakati za kampeni na uchaguzi kwa ujumla.
Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Mtikila
Mhariri: Miraji Othman