JamiiAfrikaMeena Ally anayetumia habari kusaidia vijana05:11This browser does not support the video element.JamiiAfrikaMohammed Khelef21.05.202121 Mei 2021Akiwa na umri mdogo, tayari Meena Ally ameshajizolea umaarufu kutokana na utangazaji wake mahiri wa vipindi vya vijana, akitumia njia nyepesi kutoa elimu ya VVU na Ukimwi na pia kupambana na mimba za utotoni.Nakili kiunganishiMatangazo