Mengiste Desta, Ethiopia
23 Mei 2013Matangazo
"Jukumu la Umoja wa Afrika kwanza lilikuwa kulikomboa bara lote la Afrika kutokana na ukoloni na mfumo wa ubaguzi wa rangi na mtengano. Uamuzi muhimu ulikua kuundwa baraza la amani na usalama ambalo ni sawa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Taasisi hiyo inashughulikia mivutano na matatizo ya usalama barani Afrika. Kwa hivyo, mengi yamefanyika upande huo."