MERKEL APONGEZA AZIMIO LA UM
6 Agosti 2006Matangazo
BERLIN:
Kanzela Angela Merkel wa ujerumani alipongeza hii leo pendekezo la azimio lililotungwa na Marekani na Ufaransa huko UM linalodai kukomeshwa kwa mapigano.Kanzela wa Ujerumani alilieleza pendekezo hilo ni hatua muhimu kwendea kusimamishwa kwa harakati za kijeshi.