1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel azua wasiwasi baada ya kuoneka akitetemeka

00:50

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
28 Juni 2019

Wasiwasi umetanda kuhusu hali ya kiafya ya Kansela Angela Merkel wa Ujerumani baada ya kuonekana akitetemeka kwa mara nyingine tena hadharani. Kansela huyo anadai hana matatizo yoyote ya kiafya bali huwa anazidiwa na joto kali linaloshuhudiwa kwa sasa barani Ulaya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW