SiasaMerkel azuru Israel01:07This browser does not support the video element.SiasaLilian Mtono04.10.20184 Oktoba 2018Kansela wa Ujerumani Angela Merkel yuko nchini Israel kwa ziara fupi inayolenga kuangazia maeneo ya mashirikiano, uchumi na maendeleo. Akiwa nchini humo amezuru makumbusho ya mauaji ya halaiki ya Wayahudi. Tazama Vidio hii kwa mengi zaidi.Nakili kiunganishiMatangazo