Kansela Angela Merkel ajiandaa kung'atuka kama kiongozi wa chama cha Christian Democratic Union CDU katika mkutano mkuu wa chama hicho utakaofanyika Desemba.Uamuzi wa Merkel wa kutogombea tena wadhifa huo unatokana na chama hicho kupoteza umaarufu wake kwa wapiga kura