SiasaMerkel, Macron wasaini mkataba wa ushirikiano01:07This browser does not support the video element.SiasaMohammed Khelef22.01.201922 Januari 2019Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wanakutana mjini Aachen kusaini mkataba wa urafiki unaokumbushia makubaliano ya mwaka 1963 ambayo mataifa hayo yaliyowahi kuwa mahasimu waliafikiana. Kurunzi 22.01.2019.Nakili kiunganishiMatangazo