SiasaMerkel njiapanda kuhusu sera ya uhamiaji01:17This browser does not support the video element.SiasaIddi Ssessanga18.06.201818 Juni 2018Viongozi wenye misimamo mikali katika muungano wa kifadhina wa kansela Angela Merkel wamempa muda wa wiki mbili kukaza sheria za hifadhi au ahatarishe kuitumbukiza Ujerumani katika mgogoro wa kisiasa ambao unaweza kuitikisa pia Ulaya.Nakili kiunganishiMatangazo