SiasaMerkel, Seehofer waafikiana sera ya uhamiaji01:41This browser does not support the video element.SiasaIddi Ssessanga03.07.20183 Julai 2018Vyama ndugu vya CDU na CSU vilivyokuwa vinasuguana kuhusu sera ya uhamiaji hatimaye vimefikia muafaka na kuepusha hatari ya kusambaratika kwa muungano wao na kuvunjika kwa serikali ya muungano nchini UjerumaniNakili kiunganishiMatangazo