JamiiMeron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea08.12.20158 Desemba 2015Meron Estefanos ni mwanaharakati na muandishi habari wa Radio anayeishi nchini Sweden, aliye na asili ya Eritrea. Kwa miaka minne amekuwa akitetea haki za wakimbizi.Nakili kiunganishiPicha: DWMatangazoMeron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea03:09This browser does not support the video element.