Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea03:15This browser does not support the video element.Mjahida23.07.201523 Julai 2015Meron Estefanos ni mwanaharakati na muandishi habari wa Radio anayeishi nchini Sweden,aliye na asili ya Eritrea. Kwa miaka minne amekuwa akitetea haki za wakimbizi.Nakili kiunganishiMatangazo