1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lionel Messi aomba radhi kwa safari ya Saudi Arabia

6 Mei 2023

Mwanakandanda maarufu duniani Lionel Messi ameiomba radhi timu yake ya Paris Saint-Germain kwa kufanya safari nchini Saudi Arabia bila ya ruhusa

Fussball Frankreich l Lionel Messi für Paris St. Germain l Enttäuscht
Picha: Franck Fife/AFP

Pia amewaomba radhi wachezaji wenzake.Kutokana na safari hiyo, Messi alisimamishwa kazi. Hata hivyo mwanasoka huyo mahiri ameeleza kwamba utatanishi huo ulitokana na mabadiliko ya ratiba. Klabu yake imesema itajadili na mwanakandanda huyo Lionel Messisuala la kumaliza msimu atakaporudi kazini baada ya kusimamishwa.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW