Messi kuendelea kuichezea timu ya Marekani ya Inter Miami
18 Septemba 2025
Matangazo
Kulingana na taarifa iliyotolewa na kituo cha televisheni cha ESPN, pande zote ziko katika hatua za mwisho za mazungumzo, na kwamba ni mambo machache ambayo bado yanahitaji kukamilishwa.
Messi , mwenye umri wa miaka 38, alijiunga na Inter Miami katika msimu wa mwaka 2023 na mkataba wake ulikuwa unakamilika mwishoni mwa msimu huu.